Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1552003916249.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo VE, jamvini nilipigwa ban karibu mwezi wote wa February kule sijazuka kipindi sasa. Na hapa kitaa sijazuka nadhani tangu mwisho wa January hadi hii leo. Nitajitahidi kuongeza bidii ya kupita hapa majukumu yakipungua
[emoji257][emoji257][emoji257]
Pole kwa ban, karibu tena kitaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuamini kama R Kelly hajui kusoma, kujumlisha wala kuandika? Alikuwa na utajiri wa $150M lakini leo Bank ana $350K. Watu wamesepa na hela yake hata child support hawezi kulipa, kweli elimu ni mali! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuuu, super star kama yule hajaona hata umuhimu wa kujifunza angalau kusoma na kuandika.. anaishi Dunia gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom