Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

anitahfabiola___BmrhAClnWnk___.jpg
 
Hili ni janga la Waafrica wengi. Familia siyo wewe, mke wako na watoto. Kuna wajomba, Shangazi, wapwa, jirani na kadhalika! Kuserve milioni kwa mtu wa kipato cha chini ni mtihani! [emoji1][emoji1]
Ukiachia familia kuna michango tele,kanisani ndani,jumuiya nje,misibani,mchango wa mtaani,bado kadi za birthday,kitchen party,ubatizo,kipaimara,harusi,arobain iwe ya msiba au kumtoa mtoto nje,bado sare,michango makazini,visherehe ya vya kupongezana waafrika sie kila kitu tunajitakia tu
 
Mchezaji wa safu ya ulinzi wa timu ya Brighton Inigo Calderon, mwenye umri wa miaka 37, amerejea katika klabu ya nyumbani Alaves, nchini Uhispania kama kocha msaidizi kwenye timu hiyo iliyopo kwenye daraja la B nadi mwishoni mwa msimu. (Argus)
 
Meneja wa zamani wa Chelsea, Leicester na Fulham Claudio Ranieri, mwenye umri wa miaka 67, anakaribia kukamilisha taratibu za kuichukua klabu yake ya zamani Roma, a baada ya upande wa ligi hiyo ya dataja la A kumfuta kazi Eusebio di Francesco. (Sky Sports)
 
Mshambuliaji wa Real Madrid Muhispania Isco, akiwa na umri wa miaka 26, ''amemkasirikia'' meneja wake Santiago Solari na ameelezea nia yake ya kuwasiliana na Manchester City. (Calciomercato, via Manchester Evening News)
 
Nahodha wa Real Madrid na Uhispania Sergio Ramos alikuwa na malumbano makali na rais wa klabu hiyo Florentino Perez kufuatia upande wa hiyo ya Championi kufungwa dhidi ya Ajax, huku Perez akitishia kumuuza mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 . (Marca)
 
Meneja wa England Gareth Southgate anasisitiza kuwa hakuna mtizamo hasi dhidi ya wachezaji wanaochezea katika mataifa ya kigeni kama winga Jadon Sancho mwenye umri wa miaka 18- alivyofanya kwa timu ya Ujerumani ya Borussia Dortmund. (Talksport)
 
Tottenham wamo katika harakati za kurejea White Hart Lane na Haringey Council huku wakitoa taarifa kwa maafisa wa usalama barabarani wakiwataka wahakikishe usalama wa barabarani kwa ajili ya majaribio ya matukio kuanzia mwishoni mwa juma lijalo . (Mail)
 
Back
Top Bottom