myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
safi kabisa mkuu
safi kabisa mkuu
duh!!Nahodha wa Real Madrid na Uhispania Sergio Ramos alikuwa na malumbano makali na rais wa klabu hiyo Florentino Perez kufuatia upande wa hiyo ya Championi kufungwa dhidi ya Ajax, huku Perez akitishia kumuuza mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 . (Marca)
Muhenga mwenzetu huyu kwishnei...
Hahahaa usinikumbushe nilicheka hapo mahali hadi machozi..yule babu mgonjwa na wale ile chapati walivyopewa 🤣🤣🤣Naikumbuka hiyo movie,,aisee yule mama alikuwa anasukuma chapati pemben mume wake amelala,kile kisukumio anakipitisha tena kwenye kifuu cha bwana wake hlf anaendelea tena kusukuma chapat aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Naisubiri ya Prof Kapuya
🤣🤣 Kuna uzi kule wametuambia tu date wauza chipsi