Bint keshalainishwa....Dah! Nimemkumbuka Theresa ghafla [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1040614
Thanks Bro [emoji4][emoji4]Wanawake wote mbarikiwe. Nyie ndiyo nguzo ya dunia hii. Binafsi ninawapenda na kuwaheshimu sana. Happy Women's Day [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1040609
Ukiachia familia kuna michango tele,kanisani ndani,jumuiya nje,misibani,mchango wa mtaani,bado kadi za birthday,kitchen party,ubatizo,kipaimara,harusi,arobain iwe ya msiba au kumtoa mtoto nje,bado sare,michango makazini,visherehe ya vya kupongezana waafrika sie kila kitu tunajitakia tuHili ni janga la Waafrica wengi. Familia siyo wewe, mke wako na watoto. Kuna wajomba, Shangazi, wapwa, jirani na kadhalika! Kuserve milioni kwa mtu wa kipato cha chini ni mtihani! [emoji1][emoji1]
Mchezaji wa safu ya ulinzi wa timu ya Brighton Inigo Calderon, mwenye umri wa miaka 37, amerejea katika klabu ya nyumbani Alaves, nchini Uhispania kama kocha msaidizi kwenye timu hiyo iliyopo kwenye daraja la B nadi mwishoni mwa msimu. (Argus)Mchezaji wa safu ya ulinzi wa timu ya Brighton Inigo Calderon, mwenye umri wa miaka 37, amerejea katika klabu ya nyumbani Alaves, nchini Uhispania kama kocha msaidizi kwenye timu hiyo iliyopo kwenye daraja la B nadi mwishoni mwa msimu. (Argus)