Too much aisee !!!Ukiachia familia kuna michango tele,kanisani ndani,jumuiya nje,misibani,mchango wa mtaani,bado kadi za birthday,kitchen party,ubatizo,kipaimara,harusi,arobain iwe ya msiba au kumtoa mtoto nje,bado sare,michango makazini,visherehe ya vya kupongezana waafrika sie kila kitu tunajitakia tu
Sana hasa makanisani duh kuna sadaka chungu nzima kama haitoshi na ndani ya jumuiya kuna michango ya kutosha. Sasa usitoe wanakuzira siku ya msibaToo much aisee !!!
Ujamaa wa Kiafrika umegeuka chanzo cha umasikini...
Asante sanaWanawake wote mbarikiwe. Nyie ndiyo nguzo ya dunia hii. Binafsi ninawapenda na kuwaheshimu sana. Happy Women's Day [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1040609
safi sanaaaaa