Tabia hizo zinaweza kuwa kama vile ucheshi na kuzungumza vyema na watu, kuheshimu wanaokuzidi umri na kustahi wadogo, ukarimu na huruma kwa watu, uadilifu, staha, uaminifu na nyingine nyingi. Jambo muhimu katika maisha ni kuzidumisha na kuziboresha zaidi.