moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mjusi wa majini, kwa jina maarufu anaitwa Mamba.
Nchini Tanzania baada Mbu wa Malaria, kiumbe anayefuata kuchukua uhai wa watu wengi ni huyu.
Siyo maarufu lakini shghuli yake wanaijua vema watanzania wanaoishi karibu na mito, vijito na maziwa.
Sent using Jamii Forums mobile app