myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku unakua mkubwa
KweliMjusi wa majini, kwa jina maarufu anaitwa Mamba.
Nchini Tanzania baada Mbu wa Malaria, kiumbe anayefuata kuchukua uhai wa watu wengi ni huyu.
Siyo maarufu lakini shghuli yake wanaijua vema watanzania wanaoishi karibu na mito, vijito na maziwa. View attachment 1041024
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli..Akiwa ndani ya maji Mamba anamugopa Kiboko tu.
Imetokea mara kadhaa Mamba akawekwa kwenye domo la kiboko na kugawanywa vipande viwili View attachment 1041037
Sent using Jamii Forums mobile app
HatariiiBaada kumkosa mwenyewe kwa hasira ameamua kula yeboyebo yake[emoji16][emoji16]View attachment 1041100
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji818][emoji818]