Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mamba ana uwezo wa kufuatilia kiumbe anayejiandaa kuingia majini kwa kuibuka kidogo na kutoa jicho moja ndani ya maji bila kuonekana, ili aone mahali ulipo kando au ndani ya maji kuangaliana namna anavyoweza kukuvamia
 
Na kule kwa akina Poti mjusi huyu anaweza kutumwa akakufuata hata kama ni kwenye kikombe cha maji. Riwaya ya Janga Sugu la Wazawa (Gabriel Ruhumbika) imeelezea kwa usahihi sana jinsi mjusi huyu anavyotumiwa na wazawa wa Nansio...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…