Meno ya Mamba ni silaha yake ya kukamata mawindo na kujihami tu, siyo meno ya kutafuna chakula kama baadhi ya wanyama kama binadamu na baadhi ya wanyama wengine maana Mamba humeza bila kutafuna baada ya kutumia meno yake ya mbele kunyofolea chakula husika
Mamba mkubwa ana uwezo wa kumeza moja kwa moja baadhi ya viumbe kama binadamu nk badala kumnyofoa kiungo kimoja kimoja kama alivyofanya Mamba huyu anayekula mkona wa binadamu [emoji107][emoji107].
Naomba radhi kwa picha hiyo