Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Carba shosti yangu huwa hatoi ignoa ila naona huwa kama unataka akuweke huko.

Niwekwe nisiwekwe sijali maana muda wowote naweza potea JF so hapa tunapita tu.
 
Kuna vituko huko nyuma, mtu mmoja Ids kumi na amezitumia zote [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aseee!
Shwayin zao, Fyekero kumi zote zimemtendea haki mtu yule yule tunayemuheshimu na kumtukuza, mtukufu furani bin furani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja yule jamaa mliyekuwa mnabishana naye siku ile aje aione hii [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Carba shosti yangu huwa hatoi ignoa ila naona huwa kama unataka akuweke huko.

Niwekwe nisiwekwe sijali maana muda wowote naweza potea JF so hapa tunapita tu.
Namchokozaga makusudi tu na mambo ya TRM. Sasa nimeacha hata mkimuita kuja kuirusha roho ile kanda pendwa napotezea tu tena ndiyo naongezea matirio. Ana roho njema na ni mvumilivu sana. Akinitia kwenye iginoa listi nitaandamana na hata kupeleka malalamiko rasmi kwa anko wenu [emoji16][emoji16][emoji16]

Hata mi sijali kwa kweli. Tuko hapa kwa muda tu ila mtu kama wewe ukiondoka uzi huu utayumba sana. Subiri angalau tugonge milioni moja [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nimekuweka huko, ila usipotee JF tafadhali! [emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Na mimi ngoja nimuweke kwa wiki moja nitesti zali. Halafu Esta hajui tu alivyonibadilisha. Nilipokuja JF nilikuwa mwoga balaa. Nikitukanwa nilikuwa naumia na kumind balaa. Nilipojifunza kutoka kwake na kumfanya kuwa rolo modo aisee maisha yamebadilika sana. Siku hizi mtu akinitukana ama nampotezea au tunaingia kwenye ligi na mambo yanaishia hapo. Na skill hii inafanya kazi vizuri sana hata huku mitaani. Cha muhimu tu ni kuchagua mapambano kwa uangalifu. Thanks Esta. You real changed me [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…