Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kutoka wakati huo rais Akufo Addo amefanya kila juhudi kufikia lengo hilo kwa kufika mapema katika mikutano.
Lakini juhudi hizo hazijaleta mabadiliko makubwa kama ilivyotarajiwa.
'Ni vigumu kubaini ibada kanisani itakamilika saa ngapi nchini Ghana'
 
Hali ya kutozingatia muda limeathiri karibu kila sekta nchini.
Kwa mfano kanisa linaweza kuweka tangazo kuwa litaandaa ibada kuanzia saa tatu asubuhi lakini muda wa kukamilika kwa ibada hiyo haijumuishwi katika tangazioo husuka.
 
Kifo ni kifo bro maumivu waliyapata tu
Ni kweli. Kati ya vitu ninavyoviogopa ni hivi vifo vya kuugua kwa muda mrefu na maumivu makali mf. Kansa. Huwa naomba sana siku zangu zikifika basi niende kwa amani tu na ghafla.

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Ndege ikianza kuporomoka kutoka angani zile G force na mabadiliko ya ghafla ya presha kuna uwezekano mkubwa wa kupoteza fahamu. Mnafika huku chini kujibamiza mkiwa hamjitambui.
 
Ukute haujitambui ila maajabu moto huoo mkali wanazinduka na kuungua huku wanajitambua. Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…