Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mmiliki wa klabu ya Lille Gerard Lopez amefichua kwamba itagharibu walau pauni milioni £43m kumtoa winga Nicolas Pepe, mwenye umri wa miaka 23 raia wa Ivory Coast huku pia akikanusha mkuruhgenzi wa michezo wa Louis Campos anafanya mazungumzo na Chelsea. (RMC Sport, via Goal.com)
 
Mchezaji wa safu ya mashambulizi katika mbwa mwitu(wolves) Leo Bonatini, mwenye umri wa miaka 24, ambaye anacheza kwa deni katika timu ya Nottingham Forest kwa muda uliosalia wa msimu, anataka kubakia City Ground kwa muhula ujao - Forest wapande daraja wasipande . (Express and Star)
 
Mchezaji wa Tottenham, na Mchezaji wa England wa kimataifa anayecheza katika safu ya kati Dele Alli, mwenye umri wa miaka 22, ana matumaini ya kurejea baada ya kupata majeraha Southampton wikendi hii, baada ya kutoshiriki mchezo kutokana na jeraha la mkono tangu Januari 20. (London Evening Standard)
 
Mshambuliaji klabu ya Uingereza ya Leicester Jamie Vardy, mwenye umri wa miaka 32, atakua fiti kwa ajili ya kukabiliana na Fulham Jumamosi hii baada ya kufanyiwa upasuaji wa kushona ulimi wake kufuatia kugongana kwake na na Ben Foster ambapo walishindwa 2-1 katika uwanja wa Watford wikendi iliyopita . (Leicester Mercury)
 
Mtanzania aliyenusurika na ajali ya ndege Ethiopian Airlines anena..
Tembelea Insta
Atu Mandoza View attachment 1042688

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtanzania Antu mandoza ambaye ni Muigizaji, Mtangazaji na Mjasiriamali pia, amefunguka namna alivyonusurika kwenye ajali ya ndege ya shirika la ndege la Ethiopia iliyotokea leo asubuhi majira ya saa 2. Antu Mandoza kupitia ukurasa wake wa Instagram, amesema kuwa alitakiwa apande ndege hiyo aina ya Boeing 737 MAX ET302 lakini alibadilisha route na baadae akasikia taarifa za ajali ya ndege hiyo. Antu anasema alipigiwa simu kibao kutoka kwa watu wake wa karibu wakimuulizia kama yupo hai, hii ni baada ya taarifa za ajli hiyo kusambaa mitandaoni | __ Ajali hiyo ya ndege imeua watu wote (157) waliokuwemo kwenye ndege, hakuna Mtanzania hata mmoja, huku Kenya ikiwa na raia wengi 32 waliofariki kwenye ajali hiyo.
 
```TEAM Gp Gd P
Man City 30 +58 74
Liverpool 30 +51 73
Tottenham 30 +25 61
Arsenal 30 +24 60
Man Utd 30 +18 58
Chelsea 29 +19 57
Wolverhamp… 30 +2 44
Watford 30 -2 43
West Ham 30 -6 39
Leicester 30 -4 38
Everton 30 -1 37
Bournemouth 30 -13 37
Newcastle 30 -9 34
Crystal Pa… 30 -5 33
Brighton 29 -10 33
Southampton 30 -16 30
Burnley 30 -23 30
Cardiff 30 -30 28
Fulham 30 -40 17
Huddersfie… 30 -38 14
```
 
Daa, nadhani siku yake ilikuwa haijafika bado! Awamu nyingine kwake ya kuanza maisha upya!
Tukio kama hili likikutokea aisee inabidi ukae na ujichunguze sana. Pengine Mungu ana makusudi makubwa sana na maisha yako.

Hapa nina safari ya kwenda Koromije, tumbo moto ng'wanawane. Haya madude basi tu kwa vile hakuna njia nyingine. Huwaga siamini kama kweli dude kubwa kama lile linaweza kutokota huko mawinguni for 10+ hours...Lakini unakuta KLM inatua saa tano usiku JKNIA baada ya masaa tisa kutoka Ulaya, inakunywa mafuta hata injini hazijapoa hiyoo inanyanyuliwa tena kurudi Amsterdam. Huwaga nakaa kinyonge sana yaani. Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…