Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Rwanda na Uganda wanarushiana maneno. Zinataka kupigwa?
Mpiga picha ni mlokole [emoji16][emoji16][emoji16]Fotografaaa...You are missing the action [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1042689
Hahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].Kwani kaka wewe nikikuuliza umbo lako utasema?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Nitasema ila tuishie hapo tu dadake[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikua aipande.Ya kweli hii? Si wanasema hakuna abiria aliyenusurika, au alikuwa aipande hiyo ndege lakini akaaichelewa pale Addis?
Mkuu usigope ndege pekee.Tukio kama hili likikutokea aisee inabidi ukae na ujichunguze sana. Pengine Mungu ana makusudi makubwa sana na maisha yako.
Hapa nina safari ya kwenda Koromije, tumbo moto ng'wanawane. Haya madude basi tu kwa vile hakuna njia nyingine. Huwaga siamini kama kweli dude kubwa kama lile linaweza kutokota huko mawinguni for 10+ hours...Lakini unakuta KLM inatua saa tano usiku JKNIA baada ya masaa tisa kutoka Ulaya, inakunywa mafuta hata injini hazijapoa hiyoo inanyanyuliwa tena kurudi Amsterdam. Huwaga nakaa kinyonge sana yaani. Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Rwanda na Uganda wanarushiana maneno. Zinataka kupigwa?
View attachment 1042726
Hahahahahaha [emoji16][emoji16].
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Kamanda rafiki yetu amehamaki.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Charred beyond recognition...View attachment 1042729
Rwanda na Uganda wanarushiana maneno. Zinataka kupigwa?
View attachment 1042726
Mikwara, mafumbo, nahau kama wasoma mashairi bhana.
Hahahahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Nitasema ila tuishie hapo tu dadake[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukio kama hili likikutokea aisee inabidi ukae na ujichunguze sana. Pengine Mungu ana makusudi makubwa sana na maisha yako.
Hapa nina safari ya kwenda Koromije, tumbo moto ng'wanawane. Haya madude basi tu kwa vile hakuna njia nyingine. Huwaga siamini kama kweli dude kubwa kama lile linaweza kutokota huko mawinguni for 10+ hours...Lakini unakuta KLM inatua saa tano usiku JKNIA baada ya masaa tisa kutoka Ulaya, inakunywa mafuta hata injini hazijapoa hiyoo inanyanyuliwa tena kurudi Amsterdam. Huwaga nakaa kinyonge sana yaani. Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Jamaa ana ukame wa kufa mtu. Binti wa watu masikini [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahahaha [emoji16][emoji16].
Aseee nimecheka mpaka basi