Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu usigope ndege pekee.
Binadamu tumezungukwa na shari za kila aina ni kwakuwa hatuzijui, unaweza toka uliko na ukafika Koromije salama salimin, lakini ukaishia kumezwa na Mamba wa Visiwa vya Ukara kirahisi tu.
Mwisho wa siku jamaa zako watasema, 'Bora angebakia alikokuwa'.....
Mambo ya Mungu tumwachie mwenyewe
 

Mungu ndio muweza wa yote, ng’wanawane! Mambo yote yatakuwa kheri tu, kwa uwezo wake! Ila haya madude ni salama sana, tatizo likitokea na wewe ukiwemo hapo shida ndio inapoanzia! Hebu wewe fikiria, wanakwambia; wastani wa ndege zilizo hewani at any given time duniani ni kama 9000-10,000. Na yote hayo yanatua salama tu huko yaendako. Hivi huko kwa Trump ulishasikia kama ndege imeanguka hasa hizi commercial airlines ukiondoa ile iliyoishia Hudson River kule NY? Ukiondoa ile TWA iliyokuwa imetegeshewa bomu miaka ileee! Mambo haya yanatokea sana kwetu Africa na Asia huko, vipi ni uendeshaji, matengenezo au maamuzi mazito ya marubani wetu wanavyokuwa kwenye Cockpits? 🤷‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…