Huku kwema kabisa. Tunza fursa huko jiji tarajiwa bro. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]True!!
Kwema bro?hope u mzima huko na unapambana[emoji120]
Sawa sawa bro,tuombe uzima tu.Huku kwema kabisa. Tunza fursa huko jiji tarajiwa bro. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mkuu vijiji vilivyozungukwa na maziwa makubwa, mito mikubwa, mbuga na mapori ya Akiba yana changamoto nyingi, hasa ya Mamba na nyoka wakali.Niko bomba Mkuu, vipi weye? Ila ile snap ya viuongo vya binadamu toka tumboni kwa mamba ni hatari tupu.
Ndege zitakuwa na matatizo ya kiufundi hizi. Haiwezekani ndege mpya kabisa ziwe zinadondoka tu kutoka angani hovyo hovyo.
Huko vipi, fursa kwa kila mmoja au mpaka uwe na kadi ya chama furani ?Camel barber
View attachment 1043292
Zuri kwa afya ya nywele