Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tottenham huenda ikamnunua kiungo wa kimataifa wa Argentina, Giovani Lo Celso, ambaye amefunga mabao 12 akiwa Real Betis kwa mkopo kutoka Paris St-Germain msimu huu, ikiwa Christian Eriksen, 27, ataondoka klabu hiyo kujiunga na a Real Madrid. (Talksport)
 
Meneja wa muda wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amekanusha madai kuwa kipa wao David de Gea aliathiriwa na mzozo unaoendelea kuhusiana na mkataba wake wakati wa mechi yao dhidi ya Arsenal ambapo walifungwa mabao 2-0. (Evening Standard)
 
Zile Boeing 737 Max zina matatizo aisee! Kuna mtu hapa ananiambia yeye kupanda ndege labda mpaka awe sedated! [emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri wa hawa wenzetu ajali hizi ni lab tosha. Watagundua tatizo na watalirekebisha. Tayari wanasema ama ni speed sensors au hiyo auto system yao ya kuhakikisha ndege hai-stall. Marubani wengi hawajui ikiwa on/off na inaonekana inafanya kazi counterintuitively. Inaonekana they overdid it. Discovery channel hapa walikuwa wanajadili na hiyo system inafanya kazi kinyume kabisa na vile ambavyo rubani atakuwa anailazimisha ndege kufanya akiona speed haziko sawa.

Kwa sasa hata mimi siwezi kupanda. Afadhali nipige mguu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…