Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Samahani quote ya ningendako aliyepo chattle nikajichanganya ikaja kwako.
Anasema huko aliko kuna fursa nyingi nilitaka kujua kama ni kwa wote au kundi furani la watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nmekupata bro,ni kwa wote siunajua maendeleo hayana chama,,,karbu sana[emoji3][emoji3]
 
Screenshot_20190310-164544~3.jpeg
 
Wachache sana hutumia busara wanapochagua, wengi wao wanapopata matokeo mabaya ndipo huanza kutumia busara kuyakabili wakati walikuwa na nafasi ya kufanya hivyo kabla na wakaona mafanikio sahihi.
 
Back
Top Bottom