Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ulimwengu wa sasa ukizubaa tu kuadapt unaachwa nyuma. BlackBerry ilikuwa inatawala ulimwengu wa biashara kabla iPhone na Samsung hawajaja. Wakazubaa leo nao ni kama vile hawapo. Struggle for Existence and Survival of the Fittest.Hi wamepatwa na kitu gani kiasi cha kutupwa pembeni ni Sumsung, iPhone na wengineo, mbona walisimama vema hapo kabla?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app