Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Zuwena,Mzee Said, Ndoa ya mateso, Rufaa ya kifo, Emmy, Vicky nk. Zipo nyingi fuatilia hiyo App utaburudika sanaNa kuachana na wimbo huo,nyimbo gani zingine zilitikisa sana kutoka kwao
Ukanda wa Gazza na Ikulu ya Tanzania!!!?Magazetini:
Ikulu ya Tanzania imetamka kuwa haihusiki na mashambuzi yeyote yanayoendelea ukanda wa Gaza
Mwenyewe anadai alikuwa tayari mwenyeji Duniani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ilikua jela ndogo, watu walikua makini kufanya kilichowapeleka hapo.Aisee kama jela vile
Unaambiwa ni divisheni wani tupu tena za ukweli kabisa siyo hizi mbwembwe za sasa...Ilikua jela ndogo, watu walikua makini kufanya kilichowapeleka hapo.
Shida ziliwaongezea bidii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ana miaka 39+?Mwenyewe anadai alikuwa tayari mwenyeji Duniani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaUlimwengu wa sasa ukizubaa tu kuadapt unaachwa nyuma. BlackBerry ilikuwa inatawala ulimwengu wa biashara kabla iPhone na Samsung hawajaja. Wakazubaa leo nao ni kama vile hawapo. Struggle for Existence and Survival of the Fittest.
Sent using Jamii Forums mobile app
Likes zipo ila vigezo pia vipo, jiongeze uogeshwe likes kama zote[emoji16][emoji16]Mi sijawahi kupata [emoji106] aka LIKE kwenye hii Kamba aka Uzi.... hebu fanya ku-like basi tafadhali....[emoji445][emoji444][emoji444][emoji445]!
Sent using Jamii Forums mobile app
Amin,
HahahahaKwa hiyo ana miaka 39+?
Andaeitini anazingua [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyezi Mungu ndiye muweza wa yote.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mwenyezi Mungu ndiye muweza wa yote.
Kazi yake iheshimiwe, maana haina makosa
Sent using Jamii Forums mobile app