Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hi wamepatwa na kitu gani kiasi cha kutupwa pembeni ni Sumsung, iPhone na wengineo, mbona walisimama vema hapo kabla?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimwengu wa sasa ukizubaa tu kuadapt unaachwa nyuma. BlackBerry ilikuwa inatawala ulimwengu wa biashara kabla iPhone na Samsung hawajaja. Wakazubaa leo nao ni kama vile hawapo. Struggle for Existence and Survival of the Fittest.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mo sijawahi kupata [emoji106] aka LIKE kwenye hii Kamba aka Uzi.... hebu fanya ku-like basi tafadhali....[emoji445][emoji444][emoji444][emoji445]!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukija hapa wewe gonga likes kibao kwa uliowakuta, weka posts zako halafu subiria mvua ya likes...it is that simple [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini kilipelekea kufa kwa Band hiyo bro??
Dar Jazz ilimikiwa na wanachama kama zilivyo Klabu za soka, bendi hii ilitikisa sana hata kabla sijazaliwa kwa mujibu wa simulizi nilizopewa.
Rais wa mwisho wa bendi hii alikua Amir Ali Bamchawi ambaye pia pia aliwahi kuwa timu Meneja ,baadaye Mwenyekiti wa Simba sport. Bendi hii ilikufa baada ya muziki wa dansi kufanywa kibiashara kiasi walishindwa kuwalipa mishahara wanamuziki wao, hali iliyopelekea wasanii wa bendi hiyo kuhamia bendi za mashirika ya uma kama vile, Urafiki, UDA jazz, Uhamiaji,Polisi jazz, Juwata Jazz, Bima Lee nk, ambazo zilikua na uwezo wa kifedha na kiutawala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…