Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

449016721_323226.jpeg
 
Halafu nimegundua kitu. Kumbe hatupaswi kuslow down. Inabidi tuongeze kasi zaidi ikibidi tufikie spidi ya mwanga. Tukifanya hivyo spidi ya muda itapungua na tutaishi maisha marefu zaidi. Sema tu dunia yetu ikizidisha spidi hii tuliyonayo kwa sasa tunaweza kujikuta katika matatizo makubwa zaidi. Albert Einstein shwaiiiniii zake kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
hahahaaa....spidi ya mwanga muda utasimama..dunia haitahimili. hali ya hewa haitakuwa hii..KIKUBWA ZAIDI tutakosa misambwada na kupotea..
 
Back
Top Bottom