mmmh..hatuzipandiNchini Marekani utawala wa shirika la ndege nchini humo (FAA) limeyaambia mashirika ya ndege kuwa linaamini aina ya Boeing 737 Max 8 inafaa kwa safari za anga licha ya kupata ajali mbili zilizowauwa mamia ya watu.
Hahaha.. eti YutongHapana " mimi mwenyewe wa yutong mwenzako " ...tena wakati mwingine huwa napanda malori kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikute wamesha pewa pesa ili wawalinde kibiashara " so wanajifanya kuwa tetea kwa kuwa wanajua nchi yao inanafasi kubwa ya ushawishi dunianimmmh..hatuzipandi
Hahaha ndio hivyo mkuu --- tukuji tutumua Sana tunaishia kwenye mwendo kasi na UberHahaha.. eti Yutong
Kila kitu kina wakati wake...utazipanda hizo mpaka utakinaiHahaha ndio hivyo mkuu --- tukuji tutumua Sana tunaishia kwenye mwendo kasi na Uber
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha sawa " nalipokea Dua lako kwa mikono yote miwiliKila kitu kina wakati wake...utazipanda hizo mpaka utakinai
Whether you think you can or you think you can’t, you’re right
The most common way people give up their power is by thinking they don’t have any
Gogo transileti jamani inaumiza mbavu [emoji23][emoji23][emoji23]Liverpool itaangalia namna ya kupata mkopo utakaowasaidia kumchukua mchezaji wa Ligi ya Primia Harry Wilson msimu ujao - lakini kuwasili kwa Brendan Rodgers katika Leicester kunaweza kumaliza matumaini ya Foxes ya kusaini mkataba na winga huyo mwenye umri wa miaka 21, ambaye kwa sasa anacheza kwa deni katika Derby. (goal.com)
Hahaha Tom [emoji1787][emoji1787]