Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaa ni attorney lakini ni muoga sana wa kufungwa jela maana anajua akifungwa tu wahuni watamfanya vibaya.

Hilo wazo tu lilikua linamfanya analia kama mtoto. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaa sasa jinsi ambavyo huwa ana sababisha mpaka watu wengine kufungwa huwa anajisikiaje !? Au ndio mkuki kwa nguruwe ...!!!

Ndio maana wahuni huwa wana quote yao moja unasema ... Kama jela pazuri mpeleke mwanao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UJUMBE MUHIMU KWA WANAUME WOTE.

Katika maisha mwanaume inakupasa kufahamu mambo ya msingi yatakayo fanya maisha yako yawe ya furaha, mambo hayo ni pamoja na:

1. Oa mwanamke ambae unaweza KUSALI nae na sio kwa sababu anajua KUFANYA MAPENZI vema.

2. Mwanaume bora KAMWE hapimwi kwa idadi ya wanawake alionao au aliotembea nao BALI kwa idadi ya wanawake aliowaambia "Mimi ni mume wa mtu" au ninae mtu tayari.

3. Kuna aina ya wanawake unatakiwa kuwaepuka kabisa kwa gharama yoyote ile, "wanawake wamaodhani uzuri wao ndio bora zaidi kuliko tabia zao"

4. Kila mwanamke anavutia akivaa nguo fupi inayoonesha maungo yake wazi, ila kama utakuta mwanamke amevaa nguo ndefu au za kusitiri mwili wake na bado anavutia, huyu ni dhahabu! Anathamini mali za mumewe!

5. Kamwe usimpe mwanamke mimba ya mtoto kabla hujampa mimba ya malengo na ukayatimiza.

6. Tafuta mwanamke ambae atakupa changamoto za maisha na kuongeza uwezo wako wa kufikiri na sio mwanamke wa kila kitu Ndio mzee!

7. Wanawake wakamilifu hawapatikani popote duniani, ila wanawake bora wapo kila mahali.

8. Mwanamke anaweza kukusaliti, ila Mungu hawezi kukusaliti, hivyo basi kabla hujapata mwanamke Mpate Mungu kwanza. Kuna raha sana kuwa ndani ya Mungu asikwambie mtu!

9. Kama unajijua umefikisha miaka 25 na kuendelea epuka mambo ya kivulana, kuvaa suruali katikati ya makalio, kuvaa hereni, kubadili badili wanawake kama unachambua mitumba ya karume etc

10. Usitumie kichwa chako kunyoa kiduku, tumia kichwa chako kuwaza mambo yenye tija ikiwemo kutafuta pesa na kuongeza hazina yako ya baadae.
 
Hahaa sasa jinsi ambavyo huwa ana sababisha mpaka watu wengine kufungwa huwa anajisikiaje !? Au ndio mkuki kwa nguruwe ...!!!

Ndio maana wahuni huwa wana quote yao moja unasema ... Kama jela pazuri mpeleke mwanao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa nimeangalia tena hiyo gif nimecheka Sana aise ... kumbe huyo jamaa mwenye vest ndiye attorney !!! Daahh kazi anayo aise ....haha

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha asee kuna siku alikuwa arrested kwa kuwa suspect kwenye murder case moja. Basi ilikua Ijumaa hivyo kama real killer asingepatikana siku hiyo angelala sero mpaka jumatatu.

Jamaa alilia sana akanitwangia simu ila kabla nipokee akapokea dogo langu Riley alivyompa hiyo habari dogo akamjibu 'don't drop soap'[emoji1787][emoji1787]

Nilipochukua simu kubonga nae ilibidi nikubali tu kumsaidia maana nilimtingisha kwanza kwa kumuuliza granddad kama mtu anaweza kuwa anally raped akiwa kwenye holding. Jamaa mjinga sana huyo. [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom