Unaweza kusema ni busara za Zinedine Zidane kukubali kurejea kwenye klabu ya Real Madrid ambayo ni miezi takribani kumi tangu atangaze kujiuzulu kuino timu hiyo.
Bila kuficha wala kumumunya maneno ameweka bayana kwamba alikuwa sahihi kujiuzulu lakini kwa sasa akili yake ameilekeza kwenye klabu ya Real Madrid namna atakavyoifanya kuwa bora zaidi.