moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hapo kwa sisi wazee wa vinondo ndo pazuri sasa unatoa kikaratasi chako bila wasiwasi unavizia tu Msimamizi yuko pande zipiMitihani ingekuwa inafanywa hivi matokeo yangekuwaje?View attachment 1045383
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa mkuu,,jisikie upo nyumbanAsante sana mkuu
Kama hawa hahahaHapo kwa sisi wazee wa vinondo ndo pazuri sasa unatoa kikaratasi chako bila wasiwasi unavizia tu Msimamizi yuko pande zipi
Hahahaha Umenikumbusha shule ukiona mazingira mabaya unaenda chooni kuweka sawa😀😀😀Kama hawa hahahaView attachment 1045402
Hawa nao wamezidi gazeti zimaKama hawa hahahaView attachment 1045402
Hahaha haya mambo yalikuwa hatari sana,ila hii mizingo bhana kila mahali ina majina yake,kuna sehemu wanaita nondo,desa,juche maana zote hzo kazi yake ni moja tu,,kumteketeza msimamiz wa mtihani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hahahaha Umenikumbusha shule ukiona mazingira mabaya unaenda chooni kuweka sawa[emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa ndio wale wanasema wananenepesha ng'ombe siku ya mnada,,hana jins tena inabd tu afanye miundombinu hahahHawa nao wamezidi gazeti zima
Mbaya uwende na kinondo halafu ukute ulicho andika hakuna hata moja au Msimamizi kaweka kiti kwenye Meza yako 🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha haya mambo yalikuwa hatari sana,ila hii mizingo bhana kila mahali ina majina yake,kuna sehemu wanaita nondo,desa,juche maana zote hzo kazi yake ni moja tu,,kumteketeza msimamiz wa mtihani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Msuli paper 😀😀😀Hawa ndio wale wanasema wananenepesha ng'ombe siku ya mnada,,hana jins tena inabd tu afanye miundombinu hahah
Hapa ndio nyumbani Hawachi ntazunguka pote,ila ntarudi hapa
Karbu sana kwenye familia hii,kuna kila kitu hapa [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji16][emoji16]Hapo kwa sisi wazee wa vinondo ndo pazuri sasa unatoa kikaratasi chako bila wasiwasi unavizia tu Msimamizi yuko pande zipi
Hahaha haya mambo yalikuwa hatari sana,ila hii mizingo bhana kila mahali ina majina yake,kuna sehemu wanaita nondo,desa,juche maana zote hzo kazi yake ni moja tu,,kumteketeza msimamiz wa mtihani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], MafundiHapo kwa sisi wazee wa vinondo ndo pazuri sasa unatoa kikaratasi chako bila wasiwasi unavizia tu Msimamizi yuko pande zipi