myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
😀😀😀😀😀Man United ikasubiri kuona bao likirudi, halikurudi, kufumba na kufumbua, wakapigwa chuma cha pili kwa penalti ya Pierre-Emerick Aubameyang. Hadi hapo, mechi ikawa imekwisha na Man United, ambao ni wababe wa kupindua matokeo kwa msimu huu, jahazi lao lilizama moja kwa moja.