Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha Umenikumbusha shule ukiona mazingira mabaya unaenda chooni kuweka sawa[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha haya mambo yalikuwa hatari sana,ila hii mizingo bhana kila mahali ina majina yake,kuna sehemu wanaita nondo,desa,juche maana zote hzo kazi yake ni moja tu,,kumteketeza msimamiz wa mtihani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mbaya uwende na kinondo halafu ukute ulicho andika hakuna hata moja au Msimamizi kaweka kiti kwenye Meza yako 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hahahahaha!!!
Ongezea kibomu kwenye Nondo, desa e.t.c

Hii kitu maisha yangu yote sijawahi ipitia aisee..Sema nilikuwa shuhuda wa wapitiaji, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Mtu hatulii mawenge muda wote.
Hahaha haya mambo yalikuwa hatari sana,ila hii mizingo bhana kila mahali ina majina yake,kuna sehemu wanaita nondo,desa,juche maana zote hzo kazi yake ni moja tu,,kumteketeza msimamiz wa mtihani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…