Hahahaha una madhara yake huu msuliMsuli paper [emoji3][emoji3][emoji3]
Bro,,mgeni huyooo
Hahahaha sema ukweli Prof,,hukupitia hizi mambo??hahaha kuna watu nawajua walikuwa wameshindikana na haka kamchezo,,,Hahahahaha!!!
Ongezea kibomu kwenye Nondo, desa e.t.c
Hii kitu maisha yangu yote sijawahi ipitia aisee..Sema nilikuwa shuhuda wa wapitiaji, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Mtu hatulii mawenge muda wote.
Tumpokee, huenda si mgeni ila ni ule mwendo wa mafyekeroBro,,mgeni huyooo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Mafundi
Hahaha tutajua tu kama ni fyekero