Brian Spilner
JF-Expert Member
34 minutes ago
New #1
Simdharau member yeyote aliye kwenye lile jukwaa, ila binafsi contents nilizozikuta ni "Total Eclipse" ya nilizotarajia.
Labda nianzie hapa (jinsi nilivyopata access).
Kuna siku ulipostiwa uzi unahusisha mambo ya squirting. Uzi ulichangiwa accordingly, namimi nilijarbu kuchangia from experience ila kuna watu walienda deep sana nikashangaa ghafla napata ule ujumbe "this post doesn't exist anymore or you don't have....".
Nikamuuliza dada mmoja ivi (kwenye pm), akanambia "ule utakua umehamishiwa jukwaa la wakubwa halafu wewe utakua hauna access huko? Tukapga na story mbili tatu ikaisha hivyo.
Nilichowaza nikwamba mada haikua mbaya ila kuna watu walizama zaidi kwenye "Female Anatomy". Nikaona kama discussion za huko ndo hizi ngoja nifanye namna.
Nilituma pm yakutaka access kwa Faraja, Paw, Invisible, Moderator (hiyo ilikua ni baada ya wadau kulalamika kutopata access hata baada yakuwapm wahusika, so me nikatuma kwa wengi nikijua lazima atakuepo atakaye act immediately).
Picha likaanza:
Siku hiyo(nyingine kabisa) napitia kwenye timeline nikakuta heading "Hivi ndivyo weekend yangu inavyokwenda". Nikasema "sio mbaya nikafungua huu uzi kushare mapumziko ya mdau".
Niliyokutananayo nikiyaeleza hapa huu uzi utahamishwa jukwaa.
Nilipoangalia kwenye tabs za juu nikakuta nipo jukwaa la mambo ya kikubwa. Nilifungua nyuzi nyingine, kwakweli niliyoyakuta ni "Total Eclipse ya kile nilichotarajia"
Uchawi ni pale nilipoview baadhi ya videos, nisijue siwezi view bila kujidownload nikaja kuzikuta kwenye gallery kesho yake nikiwa ofisini (God Damn). Nilijionea aibu sana, ukizingatia simu yangu siwekagi lock so yoyote angeweza kukutana nazo.
Sasa nawarudia tena wakuu
Paw
faraja
Invisible
Moderator
Naomba mnisaidie kulingana na kichwa kinavyojieleza.
Natanguliza shukrani, nikiomba radhi kwa usumbufu