Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kilichopo, msimu ujao Pogba anaweza kutajwa kuwa nahodha wa timu hiyo wakati kipindi cha Mourinho alivuliwa hadi unahodha msaidizi katika kikosi hicho. Chanzo cha kutoka huko Old Trafford kilifichua: “Pogba amemwambia Ole hana mpango wa kuhama.
 
Wamekuwa na mazungumzo marefu sana. Akili yake sasa imekaa sawa baada ya kupita kwenye kipindi kile cha majaribu kutoka kwa Mourinho. Sasa mchezaji huyo hauzwi kwa pesa yoyote ile na hilo lipo wazi, Pogba atabaki klabuni na haendi kokote.”
 
Ingekua Bongo hii jamaa angekuwa Centro Tayari 😂😂😂
53112175_383429539156930_2932715672323988939_n.jpg
 
Back
Top Bottom