Ngoja nivue miwani ya macho nione vizuri...[emoji23][emoji23] kwani ni ugonjwa?
Mjinga no Yule asiyejua maana ya penzi la Kweli haijalishi mpenz mmoja anaishi wapi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp una date mwanaume anayeishi kwao??Husika na kichwa cha habari hapo juu,je kudate mwanaume anaishi kwao inamake sense???
Usitake kutufukuzia njiwa tunaoishi home....
Kwa avatar yako hiyo!!Ha ha ha ha hapana ila nimewaza nje ya box,mwanaume aliepevuka anaishije kwao??