Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nadhan bibie anaogopa kukatiza mbele ya mama mkwe na mkorogo mawifi tena faster watasema mama ili ni shangingi la kutupa ok vijana wanaoisha maisha ya apartments ndo wanaongoza kwa kubadilisha madem tena bila ata kupata bahati ya kukanyaga ukweni na kujaza mimba eeh jipange utaishia kulea watt wa baba tofauti acha uoga chukua mchumba mpe moyo na faida za kutoka nyumban kwao then ata mama mkwe atakuona una akili kwa kijana wake ushauri tu huu utaishia kua kitafuno we leta usister duu uzeeshe sehem za siri na unavyopenda ghetto ngoja tu utakuja na thread nyingine ooh mapenzi basi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapa kuna maswali.
Screenshot_2019-03-16-12-43-59.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhan bibie anaogopa kukatiza mbele ya mama mkwe na mkorogo mawifi tena faster watasema mama ili ni shangingi la kutupa ok vijana wanaoisha maisha ya apartments ndo wanaongoza kwa kubadilisha madem tena bila ata kupata bahati ya kukanyaga ukweni na kujaza mimba eeh jipange utaishia kulea watt wa baba tofauti acha uoga chukua mchumba mpe moyo na faida za kutoka nyumban kwao then ata mama mkwe atakuona una akili kwa kijana wake ushauri tu huu utaishia kua kitafuno we leta usister duu uzeeshe sehem za siri na unavyopenda ghetto ngoja tu utakuja na thread nyingine ooh mapenzi basi

Sent from my iPhone using JamiiForums

Point unayo ila umeiexpand kwaupande ambao sijaiwazia point ya hii thread ni kudate mwanaume aliepevuka pande zote na bado anakaa kwao ni kuogopa kuanza maisha au ni undezi wakupenda mtelemko
 
Kwani kuishi au kutokishi kwao how it bothers?, anything in ur mind better to be open

mpuuzi mpuuzi tu

It bothers!kama nadate mtu anaeishi kwao na namchukulia kuwa future mume atawezaje kuhandle situations wakati bado anakula kwa babake
 
Back
Top Bottom