tunaoishi nyumbani tuna comment wapi?
Hebu njo nipo getho hapa mama.Single-self na shower ya maji Moto.Ka wine kapo,jiko ukitaka roast la maini tunaagiza Kwa Toyo.Fanya harakaHusika na kichwa cha habari hapo juu,je kudate mwanaume anaishi kwao inamake sense???
Kama anasoma je? Afu kingine kuna factors ambazo zinachangia? ila all in all mapenzi ya kweli hayaangalii factors ndogo ndogo kama hizoHa ha ha ha hapana ila nimewaza nje ya box,mwanaume aliepevuka anaishije kwao??
Hebu njo nipo getho hapa mama.Single-self na shower ya maji Moto.Ka wine kapo,jiko ukitaka roast la maini tunaagiza Kwa Toyo.Fanya haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka nn ss?jiko gas lipo.Big screen na dstv full music, series n.k.Unatakaje bidada?Kama bado unaagiza msosi kwa Toyo hujakamilika wewe
kwani kurudisha mpira kwa kipa dhambi?Hapa hapa nipe sababu ya kwanini bado upo nyumbani??je kuogopa maisha au kukimbia majukumu??
Kumake sense ndiyo kupi kwanza?Husika na kichwa cha habari hapo juu,je kudate mwanaume anaishi kwao inamake sense???
Unataka nn ss?jiko gas lipo.Big screen na dstv full music, series n.k.Unatakaje bidada?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka nn ss?jiko gas lipo.Big screen na dstv full music, series n.k.Unatakaje bidada?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuishi au kutokishi kwao how it bothers?, anything in ur mind better to be openHa ha ha ha hapana ila nimewaza nje ya box,mwanaume aliepevuka anaishije kwao??
Mipango ipo mama,kijikazi hikihiki kitasaidia kiwanja kipatikane,kuweka kamradi kadogo kadogo then taratiiibu ujenzi.Au ww proposal yako ipo vip?Kuanza maisha ni zaidi ya big screen ya kuangalizia series...umejipangaje??
Nadhan bibie anaogopa kukatiza mbele ya mama mkwe na mkorogo mawifi tena faster watasema mama ili ni shangingi la kutupa ok vijana wanaoisha maisha ya apartments ndo wanaongoza kwa kubadilisha madem tena bila ata kupata bahati ya kukanyaga ukweni na kujaza mimba eeh jipange utaishia kulea watt wa baba tofauti acha uoga chukua mchumba mpe moyo na faida za kutoka nyumban kwao then ata mama mkwe atakuona una akili kwa kijana wake ushauri tu huu utaishia kua kitafuno we leta usister duu uzeeshe sehem za siri na unavyopenda ghetto ngoja tu utakuja na thread nyingine ooh mapenzi basi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwani kuishi au kutokishi kwao how it bothers?, anything in ur mind better to be open
mpuuzi mpuuzi tu