🤣🤣🤣Ngoja nivue miwani ya macho nione vizuri...
Unataka kusema ni barka kutoka kwa Mnyazimungu?!!!
Kama sio uvimbe basi, mwache alimung'unyulishe kwa raha zake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
🤣🤣jamani..sio.kwa kuchapia huko
😁 And it all starts again
Yaani hilo wazo ndo wazo lako la nje ya Box?Ha ha ha ha hapana ila nimewaza nje ya box,mwanaume aliepevuka anaishije kwao??
[emoji2][emoji2][emoji2] mambo ya mitandao hayo,,,habar ya uzima sis?[emoji1787][emoji1787]jamani..sio.kwa kuchapia huko
Asante Tunashukuru Mungu..uko poa?[emoji2][emoji2][emoji2] mambo ya mitandao hayo,,,habar ya uzima sis?
Mimi mzima,,inapendeza kusikia uko poa pia[emoji120][emoji120]Asante Tunashukuru Mungu..uko poa?