Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapa hapa nipe sababu ya kwanini bado upo nyumbani??je kuogopa maisha au kukimbia majukumu??
Kwanini unahisi mtu anayeishi nyumbani kwao anakua hana majukumu? mf; mtu wazazi wake wamekua watu wazima pengine hata wamestaafu, kuna shida gani kijana akaamua kuishi nao kwa ajili ya uangalizi na hata akaoa na kuishi na mkewe hapo hapo au wewe hua unakutana na watu wa aina gani wanaoishi kwao? wale wacheza pool table kuanzia asubuhi mpk usiku?
 
Kweli kabisa mkuu mana mtu anakaa kwao huwezi jua amekutwa na matatizo gani na je mtoa post nikuulize kitu wale wanaodate na wanaume ambao wamepanga je VP mahusiano yao yamedumu kwa mda gani
Kama anasoma je? Afu kingine kuna factors ambazo zinachangia? ila all in all mapenzi ya kweli hayaangalii factors ndogo ndogo kama hizo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leati Joseph Anoa'i
"Roman Reigns" Roman Empire
FB_IMG_1552502508919.jpeg
 
Nyie wadada bakuli zenu hazibagui mboga... acheni kujiona wa maana wkt sisi ndio kila kitu kwenu.
mzazi gani akununulie chupi wewe dada?.. kama sio sisi mnaotudharau
 
Kwanini unahisi mtu anayeishi nyumbani kwao anakua hana majukumu? mf; mtu wazazi wake wamekua watu wazima pengine hata wamestaafu, kuna shida gani kijana akaamua kuishi nao kwa ajili ya uangalizi na hata akaoa na kuishi na mkewe hapo hapo au wewe hua unakutana na watu wa aina gani wanaoishi kwao? wale wacheza pool table kuanzia asubuhi mpk usiku?
Ahaaa itakuwa anasemea hao mkuu
 
Back
Top Bottom