Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nadhan bibie anaogopa kukatiza mbele ya mama mkwe na mkorogo mawifi tena faster watasema mama ili ni shangingi la kutupa ok vijana wanaoisha maisha ya apartments ndo wanaongoza kwa kubadilisha madem tena bila ata kupata bahati ya kukanyaga ukweni na kujaza mimba eeh jipange utaishia kulea watt wa baba tofauti acha uoga chukua mchumba mpe moyo na faida za kutoka nyumban kwao then ata mama mkwe atakuona una akili kwa kijana wake ushauri tu huu utaishia kua kitafuno we leta usister duu uzeeshe sehem za siri na unavyopenda ghetto ngoja tu utakuja na thread nyingine ooh mapenzi basi

Sent from my iPhone using JamiiForums

hahaha next thread...mapenzi....[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila mwanaume anayekuja kukaa home kwenu kudate nae ni poa? yaani anahama kwao anahamia kwenu kwenye chumba chako mnapika na kupakua na ndugu zako wapo humo humo
 
Sio ujinga ni uamuzi tu. Wewe kama unampenda utamshawishi ahame kwao.
Mwingine anaishi na bi mkubwa wake tu jumba kubwa akapange kutafuta nini. Na familia nyingine watoto wote walio oa wanaishi kwenye compound 1 hapo nyumban kwao.
 
Usirogwe kuishi hayo maisha ya compound moja wana familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mapenzi ni vile unavyoyadifine wewe... mi sioni shida just wherever as long as love exists between the two of them
hata mtu akae chooni !stendi ,kwa shemeji popote
awe gay au msagaji!!!! WATU WANAISHI MAISHA YAO WE UNAUMIA
 
Back
Top Bottom