Kwa hyo yesu bdo mvulana?Naongea na wanaume sio wavulana kama unakula ugali wa babako basi haumake sense kwenye huu uzi
Ndugu ulipotelea wap
Mimi nahishi Kwetu nipo na Mama na mdogo wangu!! Mshua alifariki wakati nipo 4m2, mpaka sasa nmeGraduate chuo mwaka Jana.. Na nshapata kazi! Nahakikisha Mama anakula Fresh Yan inshort nahakiksha ntumbani pako sawa.. Na Mshua Aliacha Shamba KUBWA so huwa nasimamia vitu kama hivyO! NAHAKIKISHA Bill zimelipwa TRA za Mambo mengne Nyumbaniiiii.... Ustake Kuniambia Mimi badO MVUlana!!!!!......
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana waliopanga wengi wao wanapenda uhuru wakubadilisha madem pesa zinaishia kwa madem wanasahau na wazazi wao wanahangaika
Kuna rafiki yangu alikuwa anaishi kwao mpaka 40 ,lakini alipopata mwenza akaoa akaka na make kwao miezi mitatu kigamboni mwenyewebakaona challenge akapanga tegeta kuwa nao mbali akahamia na mkewe,saivi wamehamia makongo juu na wamejenga wanawatoto 2 ,so maisha hayana formula yawezekana ili awe yeye anahitaji uingie ww maishani mwake ,chunguza kijana akizaa huwa anadouble the hustle maana sasa mtoto anampa akili atamsomeshaje ,atarithi nini
Kaka hebu acha sababu mwanaume lazima uanze maisha yako muache mama hapo na dogo ,mkeo anakusubiri we umekaria vya kurithi,japo kwa sasa usiondoke we ni tegemeo ila elewa future is living without your momMimi nahishi Kwetu nipo na Mama na mdogo wangu!! Mshua alifariki wakati nipo 4m2, mpaka sasa nmeGraduate chuo mwaka Jana.. Na nshapata kazi! Nahakikisha Mama anakula Fresh Yan inshort nahakiksha ntumbani pako sawa.. Na Mshua Aliacha Shamba KUBWA so huwa nasimamia vitu kama hivyO! NAHAKIKISHA Bill zimelipwa TRA za Mambo mengne Nyumbaniiiii.... Ustake Kuniambia Mimi badO MVUlana!!!!!......
Sent using Jamii Forums mobile app