Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwema Boss,

Nashukuru sana Pia,

Nawaza kuchukua membersip Simba, anaweza kuwa mfariji United akizingua.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nipo tayari kuipokea adhabu ya kaburi kuliko kuishabikia simba.

Man U katupiga sindano ya kichwa... Nikamkubuka Numbisa halafu nikakuwazia wewe na COLE William nikashangaa siwaoni jamvini, niliya hisi maumivu kwa kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…