myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Nimeishi kipindi kirefu kule, nawajua kwa ukarimu wenu, nadhani elimu nayo imechangia.Mungu akipenda nitakuwa kule tena mwezi ujaoHa hah
Siku ingine useme ukiwa maeneo ya kwetu Boss, walau tuonyeshe ukarimu wetu ulio tukuka kwa wageni!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha nifanye utaratibu nimuone!!!
BTW Yanga imekaa ki CCM ccm Zaidi