Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeUzoefu poti! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeUzoefu poti! [emoji23][emoji23][emoji23]
Habari yako BradhaNipo bro, itakua tulipishana tuu.
Niliuona ule uthibitisho wako wa swimming pool la kwanza kule Mwanza.
Ha hahNilikuwa kwa akina capitalpool kule kwa akina "iwe" mitaa ya kwenu nikapita mida mibovu...
Kunyorishia ni kuufunga mkuu juu ya carrier au samaki kuning'iniza kwenye side miror ya gari, kila mtu anaona na kutamanishwa
Njema kabisa Mo.Naona wkend yako full shangwe, mnyama amewafurahisha ...
Nilimanisha kule ujirani wetu ulipoanzaia, naizungumzia game ya City na Swansea!!!Bro mimi Yanga na jana nilikua nyutro 😀😀😀