moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
I see, nikajua umezungumzia goli la simba la dk ya 89.Nilimanisha kule ujirani wetu ulipoanzaia, naizungumzia game ya City na Swansea!!!
Kuna wadau wamejibu muda ilipoingia ndio muda inapotoka baada ya miezi tisa
Sana bro, ukichukulia leo pia Liverpool imeshinda yani ni full burudaniNjema kabisa Mo.Naona wkend yako full shangwe, mnyama amewafurahisha ...
Hatari huyuChota ChamaView attachment 1047327
Simba ndio huyoooSimba wetuView attachment 1047576
I see, nikajua umezungumzia goli la simba la dk ya 89.
Mzee wangu ni shabiki wa yanga na Arsenal humwambii kitu yani! Sikuwai kushabikia Simba na Yanga kabisaa ila sababu ya mzee wangu, yanga ikifanya vibaya me pia nilikua myonge kiasi chake! Lakini kwa gamu ya jana! Wacha nione napataje membership Simba!!
Wacha nifanye utaratibu nimuone!!!Hayo ndio maneno sasa. Membership ya Simba muone moudgulf: Kadi unaipata ndani ya masaa machache! [emoji1][emoji1]