Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee wangu ni shabiki wa yanga na Arsenal humwambii kitu yani! Sikuwai kushabikia Simba na Yanga kabisaa ila sababu ya mzee wangu, yanga ikifanya vibaya me pia nilikua myonge kiasi chake! Lakini kwa gamu ya jana! Wacha nione napataje membership Simba!!
Mimi pia uyanga unatokana na mzee .... enzi hizo ikishinda mzee akiwa na furaha tulikua tanapigishwa bata hadi tukawa tunaiombea ishinde ...
 
Mimi pia uyanga unatokana na mzee .... enzi hizo ikishinda mzee akiwa na furaha tulikua tanapigishwa bata hadi tukawa tunaiombea ishinde ...
emoji1.png
emoji1.png
emoji1.png
emoji1.png
Saivi kila mtu na hamsini zake!!

Ashinde, afungwe I don care.
 
by muhammed ghassani

Kweli u wewe mkongwe, lakini sio dhaifu
Umejengewa kwa mawe, kwa gambo na utukufu
Umesimama imara, kwa dhamira na insafu
Mbele Bahari ya Hindi, jua linakubariki


Waishuhudia miongo, yapita ikiondoka
Pa mchoo paja vuli, pa kaskazi masika
Sekunde, dakika, saa, wiki, miezi na myaka
Shuhuda wa wajao kwa dau, na washukao bedeli
 
Wangiao kwa vishindo, kwa kedi, kwa bezo na kwa dharau
Na wajao kwa adabu, hishima wasiosahau Bendera zikipepea, zikizeeka mapau
Milingoti ikiwekwa, na mengine kuanguka

Weye weepo na upo, na daima ‘takuwepo
Sababu wewe jabari, ushujaa ndio wako
Ndiwe alama, na sauti, na dira ya tuendako
Ya nchi ya Mwana wa Mwana
Ya taifa la Mwinyi Mkuu
Ya dola la Mkamandume
Ya daima na milele
Ya jana, leo na kesho
 
Kirongwe ni kosa lako, usojuwa kutumika
Kakutuma bwana wako, zigole la takataka
Siriye ni siri yako, ahadi ukatamka
Leo kule liendako, zigo limeshindwa fika
Lau si kiasi chako
Ungarudi litokako
Si kulibwaga kitako, Jimkana uwanjani
Sasa Bwana akugomba, Kirongwe machoyo chini!
 
Back
Top Bottom