Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyota huyo wa Ureno aliiga ushangiliaji wa Diego Simeone alioufanya katika mechi ya kwanza ya Juve ya hatua ya 16-Bora dhidi ya Atletico Madrid baada ya kufunga ‘hat-trick’ iliyowang’oa Wahispania hao katika mechi ya marudiano wiki iliyopita.
 
Katika taarifa yake, UEFA imesema: “Kufuatia uchunguzi wa kinidhamu unaofanywa na Kamati ya Nidhamu na Maadili ya UEFA, kwa mujibu wa ibara ya 55 ya Kanuni za Nidhamu za UEFA (DR), kesi ya kimaadili imefunguliwa kufuatia mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya 16-Bora baina ya Klabu ya Soka ya Juventus na Klabu ya Atletico de Madrid, iliyochezwa Machi 12 nchini Italia.
 
Mshambuliaji huyo wa Uruguay alifunga bao ‘tamu’ la juhudi binafsi kwenye Uwanja wa Benito Villamarin baada ya ‘kuwafungisha tela’ mabeki wote wa Betis akiwaacha wawili kati yao ‘sakafuni’ na kuifanya Barca kuongoza 3-1 katika kipindi cha pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…