Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hata alipoondoka Everton, Rooney alikwenda kujiunga na Manchester United, ambao pia ni wapinzani wakubwa wa Liverpool. “Nimekuwa nikishabikia Everton, familia yangu wote ni Everton na nimekuzwa nikiwachukia Liverpool. Hiyo haijawahi kubadilika,” alisema.