Aisee, ni kweli hii?DaJane au kwa jina halisi Mariam Makasi member wa Jamii forums afariki dunia. Msiba uko Mwanza Buswelu.
Thread starter Angel Uruu Start date 5 minutes ago
Tags None Edit
JUMP TO NEW WATCH
A
Angel Uruu
New Member
5 minutes ago
New #1
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni na mawazo yake ambayo anaona yanamfaa ili kutuliza hisia zake.
Mariam Makasi nimesoma nae.
Nimemuuguza pale Bugando na leo alfajiri ametutoka.
Pumzika kwa amani Mariam.
Najua umepambana sana na kuwa muwazi kuhusu ugonjwa uliokuua.
"...sisi tu mavumbi, na mavumbini tutarejea...."
Nimejiunga jana ili nitoe taarifa.
Asanteni.
Si anatumiwa tuu, hatumii akili zake.Akiki zake zilimtuma kujiuzulu...Lipumba kafanya kosa kubwa sana. Angetafuta suluhu ndan ya chama badala ya kuwagawa
PoleniDaJane au kwa jina halisi Mariam Makasi member wa Jamii forums afariki dunia. Msiba uko Mwanza Buswelu.
Thread starter Angel Uruu Start date 5 minutes ago
Tags None Edit
JUMP TO NEW WATCH
A
Angel Uruu
New Member
5 minutes ago
New #1
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni na mawazo yake ambayo anaona yanamfaa ili kutuliza hisia zake.
Mariam Makasi nimesoma nae.
Nimemuuguza pale Bugando na leo alfajiri ametutoka.
Pumzika kwa amani Mariam.
Najua umepambana sana na kuwa muwazi kuhusu ugonjwa uliokuua.
"...sisi tu mavumbi, na mavumbini tutarejea...."
Nimejiunga jana ili nitoe taarifa.
Asanteni.
Aseeeeee[emoji16][emoji16]View attachment 1049427maandalizi ya movie
Tumepokea hiyoGary Neville vs Liverpool
Gary Neville aliwahi kusisitiza kwamba kitu asichokipenda ni Liverpool.
Beki huyo wa zamani wa Manchester United aliwahi kusema kwamba hakuna kitu anachokielewa kuhusu Liverpool, haipendi timu, hawapendi watu wake, kwa kifupi hakuna anachokipenda kuhusu timu hiyo.
Namuunga mkono..Jamie Carragher vs Everton
Ni hivi, Gary Neville haipendi Liverpool, sawa na ilivyo kwa beki wa zamani Jamie Carragher haipendi Manchester United. Lakini, unaambiwa hivi kwa Carragher anakuwa na furaha kubwa zaidi kama Everton ikiwa inafungwa.
[emoji16][emoji16][emoji16]Gerard Pique vs Real Madrid
Beki wa kati wa Barcelona, Gerard Pique aliwahi kukiri huko nyuma kwamba siku zote amekuwa akitaka mambo yawaendee ovyo Real Madrid, hiyo ndio dua yake ya kila siku. Kwa chuki aliyokuwa nayo Pique kwa Real Madrid ni kwamba hata kama watacheza mechi dhidi ya jiwe, basi yeye atakuwa upande wa hilo jiwe. Kwenye nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2015, Pique hakutaka kuleta uzalendo sijui wa timu ya Hispania, yeye aliamua kuvaa jezi ya kipa wa Juventus kwa wakati huo, Gianluigi Buffon wakati timu walipowachapa Los Blancos kwenye mechi za michuano hiyo ya Ulaya.
That's someone's experience.Hardly, but she found a syncronised heart.In love, somehow, a man’s heart is always either exceeding the speed limit, or getting parked in the wrong place
😀😀😀😀Akitokea MGANGA yeyote na akasema kwamba kutulia kwenye NDOA kunaongeza NGUVU za kiume Amini nawaambieni NDOA zitadumu kama nyumba za Makumbusho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Issue ni kwamba halisomeki.TANGAZO!!! Waziri wa michezo wa urusi Bw.Ghtgczlair Puntrecuesdjhn Najua umeliruka hlo jina na me naishia hapo hapo* *Sipendag watu wavivu mimi.............[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu hawaulizi, wanatest kabisa 😀😀😀Kutupostia habari za mpenzi wako kuwa anavyokupa raha huku mitandaoni hayo ni mambo ya kizaman wewe tuma number yake tutamuuliza sisi wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]