Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Soma hiyooo mrembo unayemnyima mume au BF wako eti unamkomoa

'Tendo la ndoa' humfanya mwanamke kuonekana Mrembo zaidi. Kwani unapofanya tendo la kiwango cha Estrojen huongezeka na kupelekea nywele pamoja na ngozi kuwa nyororo maradufu
 
Kuna sehemu nimekutana na komenti kama mbili hivi binti analaumu. Ni dhahiri picha itakuwa ilikuwa ya ukweli. Natamani kumfahamu huyo msukuma mwee!!!

Hahaa... Kuna watu ni mashujaa humu JF! Hakuna aliyeinyaka aitupiemo hapa? Acha tu nikomae na UGUMU wangu, haya mengine siyawezi; Nakuachia wewe mzee toka kanda ya nyanda za juu kusini? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Heh.. siku hizi kuna milipuko!! Mara chai nyeusi na j mara hii..ukiingia lazma ukute skendo imefutwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…