Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tanzanianweddings___BtP-6oMgvM6___.jpg
 
Maisha yanakwenda kasi sana. La Liga kwa sasa ina timu moja tu kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati Ligi Kuu England imeingiza timu nne kwenye hatua ya robo fainali ya michuano hiyo msimu huu.
Hilo linatajwa ni mabadiliko ya ubora kwenye michuano hiyo ya Ulaya.
Mambo kama hayo zamani tunatarajia yafanywe na Serie A au La Liga Santander...zote kwisha.
England imekamata usukani
 
Back
Top Bottom