Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Lohkitumbua ni K...
Kupenda ni K...
Ku-like ni K...
Kuoga ni K...
Kupuga ni K....
Kusonya ni K...
Kuiba ni K...
Kiburi ni K...
Kujiona ni K...
Kupiga deki ni K....
Yaani K kila mahala.
Ainunue tu bhana tuondokane na huyu myahudi asiye na subiraMtu tajiri zaidi Uingereza yote anataka kuinunua klabu ya soka la Chelsea.
Tajiri huyo anaitwa Sir Jim Ratcliffe, bilionea mwenye pesa zake. Kinachoelezwa ni kwamba bilionea huyo anamiliki utajiri wa Pauni 21 bilioni.
Sawa9. Joe Lewis - Tottenham, Pauni 3.8 bilioni
Tottenham Hotspur kwa madirisha mawili mfululizo wameshindwa kufanya usajili, lakini si kwamba hawana pesa ya kufanya hivyo, mmiliki wao ana pesa ndefu balaa. Mmiliki wa klabu hiyo, Joe Lewis, ni moja ya watu matajiri waliopo Uingereza, ambaye ameripotiwa kutoa Pauni 800 milioni kusaidia ujenzi wa uwanja mpya wa Tottenham. Bilionea huyo anatajwa kuwa na utajiri wa Pauni 3.8 bilioni.
......Asalaam alyekum
Amazing really
Omari omari
Dogo mfaume
Msagasumu