moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mambo ya kutwezana hayoHuko Real Madrid kinachoripotiwa ni kwamba wanataka kuwapa Liverpool ofa ya beki Raphael Varane ili wao wamchukue straika Sadio Mane.
Hiyo ina maana dili hilo likifanikiwa, basi Varane atatua England na Mane atakwenda Hispania.